Mafanikio ya kimkakati uliyopata Muqawama wa Lebanon chini ya uongozi wa Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah

Jana Jumapili Februari 23 yalifanyika mjini Beirut, Lebanon mazishi ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah aliyeuawa shahi, kwa kuhuhudhuriwa na zaidi ya watu milioni moja. Suali muhimu linaloulizwa na wengi ni: Kuna mafanikio gani ya kimkakati ambayo Muqawama wa Lebanon umepata katika kipindi cha miaka 33 ya uongozi wa Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah?