Maelfu ya wanajeshi wa Congo kuhukumiwa kwa kuwakimbia waasi wa M23

Umoja wa Mataifa imeripoti ukiukwaji mkubwa ikiwa ni pamoja na mauaji, ubakaji wa genge na utumwa wa kingono kufuatia kuingia kwa waasi wa M23 mwishoni mwa mwezi Januari na hatimaye kuuteka mji mkuu wa Goma.