Maelfu waandamana Washington dhidi ya Trump kabla ya kuapishwa tena kuwa rais wa Marekani

Makumi ya maelfu ya Wamarekani wameandamana katika mji mkuu Washington dhidi ya rais mteule Donald Trump anayetazamiwa kuapishwa kesho Jumatatu.