Maelezo mapya ya Israel kuhusu kushindwa “Kuba la Chuma” katika oparesheni ya Kimbunga cha al Aqsa

Jeshi la Israel limetoa maelezo mapya kuhusu kushindwa kwa mfumo wake wa ulinzi wa anga unaojulikana kama “Iron Dome” katika operesheni ya wanamuqawama wa Palestina ya kimbunga ya Al-Aqsa.