Madini gani adimu nchini Ukraine yanayoitoa ‘roho’ Marekani?

Waziri mmoja anasema kwamba “majadiliano yamekuwa yenye tija, huku karibu maelezo yote muhimu yakiwa yamekamilika.”