Madai ya Trump kuhusu maeneo ya nchi nyingine, dhihirisho la ubeberu wa hali ya juu

Hatua isiyo ya kawaida ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kutoa amri ya kubadili jina la “Ghuba ya Mexico” kuwa “Ghuba ya Marekani” imekabiliwa na hisia kali kutoka Mexico.