Maandamano yarindima Meya wa Istanbul, hasimu wa Rais wa Uturuki alipokamatwa

Maelfu ya wananchi wa Uturuki wamemiminika barabarani kulalamikiwa kutiwa mbaroni Meya wa Istanbul, Ekrem Imamoglu, mpinzani mkuu wa kisiasa wa Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amekamatwa kwa tuhuma za rushwa na ugaidi; siku chache kabla ya kuteuliwa kuwa mgombea wa urais.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *