Maandamano ya Bahman 22 ya kuadhimisha ushindi ya Mapinduzi ya Kiislamu yaanza nchini kote

Maandamano ya Bahman 22 ya kuadhimisha miaka 46 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yameanza kote nchini Iran ikiwa ni pamoja na katika Jiji kuu la Tehran