Maandamano makubwa ya wananchi wa Iran katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yana jumbe gani?

Wananchi wa Iran walikuwa na mahudhurio makubwa katika maadhimisho ya mwaka wa 46 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.