Maandamano dhidi ya Trump na Musk kila siku Washington DC

Mji mkuu wa Marekani, Washington DC, unaendelea kushuhudia maandamano ya karibu kila siku dhidi ya Rais Donald Trump kutokana na hatua zake za kuwaachisha kazi wafanyakazi, kubana matumizi  na kusaini maagizo ya kiutendaji ambayo yanakiuka maslahi ya nchi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *