Maagizo ya rais ni nini?

Trump anatarajiwa kutia saini zaidi ya maagizo 200. Hii itajumuisha maagizo ambayo ni ya kisheria, na mengineo ya rais kama vile amri, ambayo kwa kawaida sivyo.