Maafisa wa Afrika wa Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu mzozo wa DRC

Maafisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa barani Afrika wametahadharisha kuhusu mzozo na machafuko yanayyoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.