M23, Serikali ya DRC kukutanishwa rasmi wiki ijayo Angola

Serikali ya DRC imethibitisha kupokea mwaliko kutoka ofisi ya Rais wa Angola wa kuhudhuria mazungumzo ya Machi 18, 2025, yanayolenga kumaliza mzozo nchini DRC.