Luteni Jenerali Werede atangazwa kuwa rais mpya wa muda wa eneo la Tigray, Ethiopia

Luteni Jenerali Tadesse Werede ametangazwa kuwa rais mpya wa muda wa eneo la Tigray kuchukua nafasi ya Getachew Reda.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *