“Luteka ya Mkanda wa Usalama, dhihirisho la uwezo wa Jeshi la Majini la Iran”

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kuwa, mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya ‘Mkanda wa Usalama 2025’ yanadhihirisha ushujaa na uwezo mkubwa wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu katika medani za kimataifa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *