Liverpool ni suala la wakati, hivi ndivyo itakavyoweka rekodi na kutwaa ubingwa wa EPL

Sherehe za ubingwa wa Ligi Kuu kwa Liverpool inaonekana kutoepukika. Ni suala la lini wanaweza kuthibitishwa kuwa mabingwa na sio je watatwaa ubingwa ama la?

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *