Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena

Lissu, ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa sasa, amesema njia pekee ya kurudisha Imani na kutegemewa na wananchi ni kwa kupata uongozi mpya.