Lissu athibitishwa kushikiliwa kwenye gereza la Ukonga chini ya ulinzi mkali

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimesema viongozi wake wamekutana na viongozi wa Jeshi la Magereza na kufahamishwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu amehamishiwa Gereza la Ukonga.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *