Lieberman: Kamwe hatuwezi kupata amani Israel

Mkuu wa chama cha “Yisrael Beiteinu” amesema kuwa, maadamu utawala unafanya maafa uko madarakani huko Israel, walowezi wa Kizayuni kamwe hawatoonja maisha ya usalama na amani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *