Licha ya vizuizi vya Israel Wapalestina 180,000 wamesali Msikiti wa Al-Aqsa mkesha wa Lailatul-Qadr

Waislamu Wapalestina wapatao 180,000 walisali Sala ya Tarawehe katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Baitul-Muqaddas usiku wa kuamkia leo na kujiandaa kwa mkesha wa mwezi 27 Ramadhani unaokadiriwa kwamba unaweza ukawa Lailatul-Qadr, licha ya vizuizi vikali walivyowekewa na utawala wa Kizayuni wa Israel vya kuingia msikitini humo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *