Licha ya Mkoa wa Songwe kufanya vizuri katika matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2025 kwa kupanda kutoka asilimia 29.7 hadi 65….

Licha ya Mkoa wa Songwe kufanya vizuri katika matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2025 kwa kupanda kutoka asilimia 29.7 hadi 65….

Licha ya Mkoa wa Songwe kufanya vizuri katika matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2025 kwa kupanda kutoka asilimia 29.7 hadi 65.15 na kuongoza Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, walimu wa shule za msingi wametakiwa kuimarisha ufundishaji wa mbinu za kujibu maswali ili kuwawezesha wanafunzi kufanya vizuri zaidi, hasa katika mashindano.

Wito huo umetolewa na Afisa Elimu Taaluma wa mkoa huo, Mtinga Malea wakati wa shindano lililoandaliwa na taasisi ya Teachers Junction.

#AzamTVUpdates
✍Joyce Lyanda
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *