Libya yagundua makaburi mawili ya halaiki yenye miili ipatayo 50 ya wahajiri na wakimbizi

Mamlaka za Libya zimegundua miili ipatayo 50 kwenye makaburi mawili ya halaiki katika jangwa la kusini mashariki mwa nchi hiyo, katika maafa ya karibuni zaidi yaliyohusisha watu wanaotaka kufika Ulaya kupitia nchi hiyo ya Afrika Kaskazini.