Liang Wenfeng: Mjue mvumbuzi wa DeepSeek

Bilionea kutoka China, amesifiwa kwenye mitandao ya kijamii kama ‘shujaa wa AI’ baada ya programu yake ya gharama ya chini kuvamia ulimwengu wa akili mnembo – lakini mtu huyu aliyeifanya dunia imzungumzie ni nani?