Leo mateka 110 wa Palestina kuachiliwa huru mkabala wa mateka watatu 3 wa Israel

Kanali ya 12 ya televisheni ya Israel imeripoti kuwa, leo Alkhamisi utawala wa Kizayuni utawaachilia huru mateka 110 wa Kipalestina katika mkabala wa kuachiliwa Wazayuni watatu na raia watano wa Thailand.