Kwanini wanawake wa Kenya hawataki kupata watoto?

Kufunga mirija ya uzazi inapendekezwa ifanywe na wanawake ambao wameamua hawataki kujifungua watoto siku zijazo, kwani kugeuza hali hii ni vigumu na mara nyingi haiwezekani.