Kwanini Trump anazuru tena mataifa ya Ghuba?

Rais wa Marekani alipotangaza mpango wake wa kuzuru eneo la Ghuba, aliweka wazi kwamba kipaumbele chake ni kuvutia uwekezaji kutoka nchi tajiri za Kiarabu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *