Kwanini Somaliland ina matumaini na ujio wa Trump?

“Donald ni mwokozi wetu. Ni mtu mwenye hekima. Mungu ibariki Marekani,” anasema mwanafunzi wa chuo kikuu Aisha Ismail.