Kwanini Simba SC imefungwa Morocco lakini haijachapwa fainali CAF?

Simba wametoka Berkane wakiwa wamefungwa 2-0, lakini hawajachapwa. Walianguka bila kupasuka, inasubiriwa kuona kama wanaweza kupindua meza mchezo wa pili wa fainali ya kombe la Shirikisho

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *