Kwanini Rais wa Ukraine havai suti?

Kabla hata ya mzozo ulioibuka kati yake na wenyeji wake Rais Donald Trump na Makamu wa Rais JD Vance mbele ya waandishi wa Habari, Trump alimpokea Zelensky mlangoni na kuwaambia waandishi wa habari “leo amevalia kweli kweli”