Kwanini kuhariri picha ili kubadilisha mwonekano wa uso kunasababisha sonona?

“Kama umefanyiwa upasuaji, ni muhimu kuelezea jamii yako,” anasisitiza. Hii inamaanisha kuwa watu wanapaswa kusema ukweli kuhusu mwili wao badala ya kudanganya kwa kutumia picha za kuhaririwa au wakifanya upasuaji wa kutengeza umbile waeleze kuwa sio umbile waliozaliwa nalo.”anasema Faynara.