Kwa nini utawala wa Kizayuni unaendeleza ukaliaji ardhi kwa mabavu na vita kusini mwa Lebanon?

Najib Miqati Waziri Mkuu wa serikali ya mshikizo ya Lebanon amesisitiza kuwa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni yanakiuka wazi mamlaka ya kujitawala ya Lebabon na ni ukiukaji mkubwa wa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa baina ya pande mbili.