Kwa nini saratani ya mapafu inaongezeka kwa wanawake ambao hawajawahi kuvuta sigara?

Takriban visa vipya milioni 2.5 vya saratani ya mapafu viligunduliwa duniani kote mwaka 2022 – ongezeko la visa 300,000 tangu 2020.