Matetemeko ya ardhi 100,000 yanahisiwa kutokea duniani kote kila mwaka, kwa mujibu wa Huduma ya Jiografia ya Marekani (USGS), lakini kuyatabiri imekuwa vigumu kwa wanasayansi, ambao hukosea mara kwa mara nyingi zaidi kwenye utabiri wao.
BBC News Swahili