Kwa nini mji wa Goma nchini DRC ni muhimu na kwa nini waasi wa M23 wanautaka?

Mji wa Goma ulio mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umekuwa tena kitovu cha mzozo wa kikanda uliodumu kwa miongo kadhaa.