Kwa nini mataifa ya Ulaya yanaunga mkono chuki dhidi Uislamu?

Ikiwa ni katika muendelezo wa siasa za chuki dhidi ya Uislamu mwanasiasa mwenye uraia pacha wa Sweden na Denmark na mwenye chuki dhidi ya Uislamu, Rasmus Paludan kwa mara nyingine tena ameivunjia heshima Qur’ani Tukufu kwa kuchoma moto nakala ya kitabu hicho kitakatifu cha Waislamu katika mji mkuu wa Denmark, Copenhagen.