Kwa nini hatua ya usitishaji vita wa Gaza inasuasua

Hamas imetangaza kuchelewesha kutoa kundi lijalo la mateka, siku chache kabla ya kuliachia kundi hilo.