Kwa nini dunia inaendelea kupinga mpango wa kuwalazimisha wakazi wa Gaza kuhama nchi yao?

Upinzani dhidi ya mpango wa Donald Trump wa kuwalazimisha Wapalestina wa Ukanda wa Gaza kuhama eneo hilo unaendelea. Umoja wa Mataifa pia umepinga suala hilo.