Kwa namna moja ama nyingine familia na malezi yana nafasi kubwa katika kuleta mabadiliko chanya au hasi kwa mtoto kabla na baada ya kuzaliwa kwake hususani katika ukuaji.
Hiki kimekuwa kitendawili ambacho kimekuwa kikiendelea katika baadhi ya familia, huku masuala ya kijinsia yakiingilia kati…Mshauri wa Masuala ya Kijinsia, Selemani Bishagazi amefafanua kiundani suala zima la malezi na kutoa ushauri wa namna sahihi wa kulea kizazi kilicho bora.
#AzamTVUpdates
✍ Warda John
Mhariri | @official_jennifersumi