Kwa mara ya kwanza Gallant akiri kuwa Israel yenyewe iliwaua Wazayuni 1,200 Oktoba 7, 2023

Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni Yoav Gallant amekiri kuwa utawala huo haramu ulitumia itifaki ya kutisha ijulikanayo kama “Hannibal Protocol” wakatii ya Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa iliyotekelezwa na Hamas Oktoba 7, 2023.