Msemaji wa Brigedi za Izzuddin Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametoa taarifa muhimu na sambamba na kuishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada wake mkubwa kwa Muqawama na wananchi wa Palestina amesisitiza kuwa, Operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa imetoa mfano wa kipekee wa Muqawama na imeweka historia isiyoweza kufutika.
Related Posts
Muqawama mpya wa Syria waanza rasmi, washambulia jeshi la Israel
Kundi moja la Muqawama la Syria limetoa taarifa muhimu ya kijeshi kuhusiana na shambulio la asubuhi ya jana Jumamosi dhidi…
Kundi moja la Muqawama la Syria limetoa taarifa muhimu ya kijeshi kuhusiana na shambulio la asubuhi ya jana Jumamosi dhidi…
Kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina; Jinai mpya dhidi ya Wapalestina
Leo tutaangazia jinai mpya ya Wazayuni na washirika wao ya kutaka kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina katika makazi na nchi yao…..…
Leo tutaangazia jinai mpya ya Wazayuni na washirika wao ya kutaka kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina katika makazi na nchi yao…..…
Mchambuzi: Kurukia vita baada ya vita ni ‘muhimu’ kwa Netanyahu kubaki madarakani
Elijah Magnier, mchambuzi mashuhuri wa masuala ya kijeshi amesema, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu anafanya…
Elijah Magnier, mchambuzi mashuhuri wa masuala ya kijeshi amesema, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu anafanya…