Tarehe 29 Disemba 2023 imerekodiwa katika kumbukumbu za historia ya baada ya mwaka 1994 ya Afrika Kusini kama siku muhimu sana baada ya Pretoria kufungua kesi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika mahakama ya ICJ, ikiwasilisha hoja za kisheria za kina na zenye mashiko kwamba ukatili wa Israel katika Ukanda wa Ghaza unakanyaga Mkataba wa Kimataifa wa Kuzuia Mauaji ya Kimbari.
Related Posts

Ukraine yaishambulia Bryansk ya Urusi
Mashambulizi ya Kiukreni dhidi ya Bryansk ya Urusi yalighairi – gavana Uvamizi huo umetishwa na walinzi wa mpaka na askari…
Mashambulizi ya Kiukreni dhidi ya Bryansk ya Urusi yalighairi – gavana Uvamizi huo umetishwa na walinzi wa mpaka na askari…
Iran imeuza madini yenye thamani ya dola bilioni 12 katika kipindi cha mwaka mmoja
Mauzo ya nje ya madini ya Iran yameongezeka katika miezi 11 ya mwaka wa Kiirani hadi mwishoni mwa Februari, yakifikia…
Mauzo ya nje ya madini ya Iran yameongezeka katika miezi 11 ya mwaka wa Kiirani hadi mwishoni mwa Februari, yakifikia…
Libya yagundua makaburi mawili ya halaiki yenye miili ipatayo 50 ya wahajiri na wakimbizi
Mamlaka za Libya zimegundua miili ipatayo 50 kwenye makaburi mawili ya halaiki katika jangwa la kusini mashariki mwa nchi hiyo,…
Mamlaka za Libya zimegundua miili ipatayo 50 kwenye makaburi mawili ya halaiki katika jangwa la kusini mashariki mwa nchi hiyo,…