“Kutokomeza umaskini miongoni mwa wanawake kutachukua miaka 130”

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameashiria matatizo yanayoendelea kuwakabili wanawake na wasichana duniani kote, akionya kwamba “kutokomeza umaskini uliokithiri miongoni mwa wanawake na wasichana kutachukua miaka 130.”