Kutekwa kwa Bukavu kunavyotatiza juhudi za amani DRC

Jimbo la Kivu Kusini likiangukia mikononi mwa M23, siku moja baada ya Rais wa DR -Congo Félix Tshisekedi kuongoza mkutano wa usalama kujadili hali inayoendelea kuwa mbaya mashariki mwa DRC.