Kutana na James aliyeokoa maisha ya watoto 2.4 mil

Akijulikana kama “mtu mwenye mkono wa dhahabu,” ambapo damu yake ilikuwa na kinga adimu, Anti-D, ambayo hutumiwa kutengeneza dawa anayopewa mama wajawazito ambao damu zao ziko hatarini kuwaathiri watoto wao ambao hawajazaliwa.