‘Kusitishwa ‘ kwa misaada ya kijeshi ya Marekani kuna maana gani kwa Ukraine?

Uamuzi wa Rais Donald Trump wa kusitisha misaada yote ya Marekani kwa Ukraine ni pigo kubwa – si kwa Kyiv pekee bali pia washirika wa Ulaya ambao wamekuwa wakishawishi utawala wa Marekani kuendelea kuwaunga mkono.