Kushindwa utawala wa Kizayuni kukabiliana na makundi ya muqawama ya Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan

Jeshi la utawala wa Kizayuni limeshindwa kukabiliana na makundi ya muqawama ya Palestina wakati huu ambapo Israel inaendeleza vita na hujuma zake huko Gaza na katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.