Kushindwa Trump katika “Kamari ya Jumamosi Adhuhuri”

Jumamosi adhuhuri pia imekuja na kupita na licha ya Hamas kukataa kuwaachilia huru mateka wote wa Kizayuni kama alivyotaka Rais Donald Trump wa Marekani, rais huyo ameshindwa kutekeleza tishio lake la kuanzisha Jahannam huko Gaza.