‘Kuripua Israel hospitali pekee ya matibabu ya saratani Ghaza ni ugaidi wa wazi wa kiserikali’

Kitendo cha jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel cha kuiripua na kuibomoa kikamilifu hospitali pekee ya matibabu ya maradhi ya saratani katika Ukanda wa Ghaza kimelaaniwa vikali kimataifa na kuelezewa kuwa ni kilelezo cha wazi cha ‘ugaidi wa kimfumo wa kiserikali’ wa utawala huo haramu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *