Kura ya Marekani ya kupinga azimio la kuilaani Russia katika Umoja wa Mataifa

Hatua ya Marekani ya kutopigia kura azimio la kuilaani Russia kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, imezusha makele mengi.