Kuongezeka mashinikizo dhidi ya wafuasi wa Palestina nchini Marekani katika muhula wa pili wa urais wa Trump

Kwa kuanza muhula wa pili wa urais wa Donald Trump, pamoja na vitisho na hatua za serikali yake dhidi ya waungaji mkono wa Palestina, mashinikizo dhidi ya watu hao na harakati za ndani ya nchi hiyo pia zimeongezeka kwa kiasi kikubwa.